Isaiah 20:4-5

4 avivyo hivyo mfalme wa Ashuru atawaongoza mateka wa Wamisri, na watu wa uhamisho wa Kushi, uchi na bila viatu, vijana hata wazee, wakiwa matako wazi, kwa aibu ya Wamisri. 5 bWale waliotegemea Kushi na kujivunia Misri wataogopa na kuaibika.
Copyright information for SwhKC